Mwaka 2025 ulivyoing’arisha Tanzania kimataifa

DAR ES SALAAM; Mwaka 2025 utaendelea kukumbukwa kama kipindi ambacho Tanzania iliimarisha kwa vitendo nafasi yake katika diplomasia ya kikanda na kimataifa. Kupitia mikutano ya ngazi ya juu, utekelezaji wa sera mpya ya mambo ya nje, ushiriki katika taasisi za kimataifa na ziara za viongozi, nchi ilijionesha kama mshirika wa kuaminika, mwenye dira ya maendeleo … The post Mwaka 2025 ulivyoing’arisha Tanzania kimataifa first appeared on HabariLeo .