Ajali ziliendelea kuacha majonzi mwaka 2025

DAR ES SALAAM; Mwaka 2025 umeacha kumbukumbu nzito kwa Watanzania, ukiwa na mchanganyiko wa matumaini, majonzi na majaribu makubwa. Miongoni mwa matukio yaliyogusa hisia za wengi ni kupoteza wapendwa, viongozi na wananchi katika ajali na majanga mbalimbali yaliyotikisa nchi kwa kipindi chote cha mwaka. Tukio kubwa lililotia huzuni zaidi ni ajali mbaya ya barabarani iliyotokea … The post Ajali ziliendelea kuacha majonzi mwaka 2025 first appeared on HabariLeo .