Miradi ya kimkakati iliyotikisa mwaka 2025

DAR ES SALAAM; MWAKA 2025 utaendelea kukumbukwa kama kipindi cha kihistoria kilicholeta mageuzi makubwa katika sekta ya usafirishaji na miundombinu nchini Tanzania. Katika mwaka huu, serikali iliongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati iliyolenga kuboresha usafiri wa watu na mizigo, kuchochea uchumi, na kuimarisha nafasi ya Tanzania kama kitovu cha usafirishaji kikanda. – Miradi … The post Miradi ya kimkakati iliyotikisa mwaka 2025 first appeared on HabariLeo .