Akitangaza matokeo hayo usiku wa Desemba 30, 2025 Msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo hilo, Marko Masue amesema Dk Mollel amepata kura 51,769 sawa na asilimia 78.4 huku mpinzani wake wa chama cha NRA, Ntaana Thobias akipata kura 4,992 sawa na asilimia 7.56.