Wasomali waandamana kupinga kutambuliwa Somaliland

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na Rais wa Somaliland, Abdirahman Abdullahi wamesaini hati inayothibitisha hatua hiyo.