MATUKIO MAKUBWA TANZANIA, YALIYOTIKISA MWAKA 2025

Na; Raidhani Mohamedi   Jumatano ya Desemba 31, leo ndio siku ya mwisho kabisa ya mwaka 2025, zile hesabu za kwamba mwaka mmoja una siku 365 na robo au siku 366 basi hiyo siku ni leo, na ikimpendeza Mwenyezi Mungu itakapofika majira ya saa 06:00 usiku, Inshallah tutaanza kuhesabu siku ya kwanza kabisa ya mwaka […] The post MATUKIO MAKUBWA TANZANIA, YALIYOTIKISA MWAKA 2025 appeared first on Jambo TV Online .