Matumizi nishati safi ya kupikia yafungua fursa mpya za ajira

Imebainika kuwa matumizi ya nishati safi ya kupikia yanaendelea kufungua fursa mbalimbali za ajira kwa Watanzania, hususan katika uzalishaji wa mkaa mbadala na utengenezaji wa mashine zinazotumika kuzalisha mkaa huo.