Kampuni ya bima yakimbilia kortini kuzuia kusitishiwa leseni
Kupitia maombi namba 21841 ya 2025 ya kuomba kibali cha kufungua shauri la mapitio ya mahakama, Jaji Hussein Mtembwa wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, amekubali maombi ya kampuni hiyo.