Rais Samia atoa zawadi za mwaka mpya kwa wenye mahitaji maalumu Moshi

Nderiananga amesema, ndani ya siku 100 za uongozi wa Rais ameendelea kuleta faraja, upendo, tumaini na umoja kwa Watanzania huku akisema kuwa kitendo hicho ni ishara ya upendo kwa wananchi bila kujali hali zao.