Tabasamu na hisia za shukrani zilitawala katika Hospitali ya Palestina, Sinza jijini Dar es Salaam, baada ya Meridianbet kutoa msaada wa Mama Packs kwa akina mama wajawazito na waliojifungua hivi karibuni. Msaada huo ulihusisha mahitaji muhimu ya mama na mtoto ikiwemo nguo za watoto, nepi, wipes, sabuni pamoja na taulo za kike, yakilenga kupunguza changamoto […] The post Akina Mama Sinza Watabasamu Kupitia Msaada wa Meridianbet Palestina Hospital appeared first on Global Publishers .