Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameainisha mafanikio na changamoto zilizojitokeza mwaka huu na hatua zilizochukuliwa katika kuzitatua.