Muziki wa Bongo Flava umeendelea kushikilia nafasi yake mwaka 2025, huku baadhi ya wasanii wakitoa hits ambazo zimetawala redio, YouTube, mitandao ya kijamii, na playlists. Hapa tunakuletea orodha ya nyimbo 10 zilizojitokeza zaidi:1️⃣ Pawa – Mbosso 2️⃣ Salama – Barnaba ft. Diamond Platnumz 3️⃣ Furaha – Harmonize 4️⃣ Me Too – Abigail Chams & Harmonize […] The post Nyimbo 10 Bora Zilizotrend Tanzania 2025 – Hizi Ndizo Hits za Kila Mtu appeared first on Global Publishers .