Morocco Vs Tanzania: Mchezo wa 16 Bora Unaotarajiwa Kushangaza Mashabiki

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025, inayoendelea nchini Morocco ni kati ya michuano isiyotabirika zaidi katika historia ya hivi majuzi. Tangu kuanzishwa kwa AFCON 1957 mashindano hayajakuwa wazi hali ya kwamba mataifa matano au sita yanaweza kuwania taji hilo kwa umakini. Mbali na mwenyeji,Morocco, mataifa kadhaa ni miongoni mwa washindani wakuu: Senegal, Misri, […] The post Morocco Vs Tanzania: Mchezo wa 16 Bora Unaotarajiwa Kushangaza Mashabiki appeared first on Global Publishers .