Timu ya Bupandwa FC imeibuka mshindi wa Bonanza la Shigongo la Kufunga Mwaka, baada ya kuichabanga Katwe FC kwa mikwaju ya penati 3–0, kufuatia sare ndani ya dakika za kawaida. Bonanza hilo limefadhiliwa na Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, likiwa na lengo la kuburudisha wananchi pamoja na kuimarisha mshikamano na ushirikiano wakati wa […] The post Bupandwa FC Yaibuka Mabingwa wa Bonanza la Shigongo kwa Penati 3–0 appeared first on Global Publishers .