Matukio makubwa 5 yaliyotikisa dunia mwaka 2025

TUNAPOUAGA mwaka 2025, dunia inatazama nyuma kwenye mfululizo wa matukio mazito yaliyobadili mwelekeo wa siasa, teknolojia, na usalama wa kimataifa. Huu umekuwa mwaka wa mabadiliko makubwa, ambapo mifumo ya zamani imetikiswa na mipango mipya ya kidiplomasia imeanza kuchukua nafasi katika anga za kimataifa. The post Matukio makubwa 5 yaliyotikisa dunia mwaka 2025 first appeared on HabariLeo .