Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo amewataka waumini na Watanzania kwa ujumla, kuuanza Mwaka Mpya wa 2026 kwa imani, shukrani na matumaini mapya, akisisitiza kuufikia mwaka huu mpya ni neema ya Mungu na siyo kwa nguvu wala uwezo wa mwanadamu.