NYANSAHO FOUNDATION WATOA MKONO WA SIKUKUU VITUO 19 MARA

Taasisi ya Nyansaho Foundation imekabidhi Mchele kilo 900 na sukari kg 375 pamoja na mafuta ya kupikia na soda na chumvi katika vituo 19 vya Mkoa wa Mara vinavyolea watoto wenye mahitaji Maalum, Wazee, pamoja na Nyumba Salama. Akizungumza mratibu wa Taasisi hiyo Modest Michael amesema wametoa Mchele,mafuta, chumvi soda,fedha taslimu laki 2 kwaajili ya […] The post NYANSAHO FOUNDATION WATOA MKONO WA SIKUKUU VITUO 19 MARA appeared first on Jambo TV Online .