MWAKA 2025 ulianza kwa furaha kwa baadhi ya mastaa wakifunga ndoa, kupata watoto na kushuhudia mafanikio mbalimbali. Hata hivyo, furaha hiyo iligeuka kuwa majonzi makubwa baada ya tasnia ya burudani na michezo kupoteza wasanii na wadau wake muhimu waliotoa mchango mkubwa kuelimisha, kuburudisha na kuijenga jamii ya Watanzania. The post Vifo vya wasanii vilivyotikisa mwaka 2025 first appeared on HabariLeo .