Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya michezo kwa lengo la kuifanya Zanzibar kuwa kituo maalum cha utalii wa michezo kitaifa na kimataifa. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 01 Januari 2026, aliposhiriki Bonanza la 16 la […] The post Rais Mwinyi Awataka Wananchi Washiriki Michezo kwa Afya na Maendeleo appeared first on Global Publishers .