Mbeya wakesha na mwaka mpya, DC akisisitiza amani na mshikamano

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda amewaomba wananchi kuendelea kushirikiana na Serikali na kudumisha amani, akisema utekelezaji wa miradi miwili ya kimkakati katika wilaya hiyo utakuwa sehemu ya historia endapo itakamilika kwa wakati.