Dk Mwinyi aanika mafanikio, akiuaga 2025 na kuukaribisha mwaka mpya
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, amewatakia Watanzania heri ya Mwaka mpya 2026, akiwataka kuendelea kudumisha amani, mshikamano na umoja wa kitaifa ili kuharakisha maendeleo ya nchi.