IRINGA: Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Ngajilo, amefunga mwaka uliopita kwa bonanza lililojaa hamasa, burudani na matumaini mapya kwa vijana wa Iringa, akitumia jukwaa hilo kutangaza dira ya mwaka 2026 inayolenga kuinua michezo, sanaa, na uchumi wa vijana. Akihutubia mamia ya washiriki wa bonanza hilo lililohusisha michezo ya … The post Ngajilo aahidi Iringa ya michezo, sanaa, ajira 2026 first appeared on HabariLeo .