BUKOBA: Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Mhandisi Johnston Mtasingwa, amekabidhi jumla ya magodoro 20 kwa Kituo cha Vipaji cha Tyaido Academy kilichopo Kata ya Buhembe, Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera. Msaada huo umetolewa kufuatia ombi maalumu lililowasilishwa kwa mbunge kwa lengo la kusaidia maendeleo ya vipaji vya vijana wanaolelewa katika kituo hicho. Akizungumza wakati … The post Mbunge akabidhi magodoro kwa kituo cha vipaji Bukoba first appeared on HabariLeo .