Mchungaji Godfrey Malisa aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kabla ya kufukuzwa uanachama mwaka jana, ameshitakiwa kwa kosa la uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.