Mtaalamu wetu juu ya Fizikia ya Anga hapa anatujuza na huku akitutahadharisha kuhusu namna nzuri ya kuchukua tahadhari wakati hali ya hewa inapotubadilikia na kuwa ni mawingu, mvua na radi. Ni busara kwa wanafunzi na hata watu wengine kuyazingatia mawaidha haya ya kisayansi na ambayo kamwe hayazingatii mambo ya imani za watu juu ya RADI […] The post Mtaalamu Atoa Njia Salama za Kuepuka Radi, Mwongozo wa Kutokufa Upo Hapa appeared first on Global Publishers .