Wananchi Iringa watakiwa kusherehekea mwaka mpya kwa kuzingatia sheria

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa wito huo likionya tabia ya kuendesha magari kwa fujo likisema kuwa tabia hizo ni kinyume cha sheria na zitaleta madhara kwa jamii.