ENGLAND: Klabu ya Chelsea imethibitisha kumfuta kazi kocha mkuu, Enzo Maresca, raia wa Italia. Taarifa ya Chelsea imeeleza kuwa uamuzi huo unatoa taswira mpya ya kuirudisha timu kwenye ushindani na kushiriki mashindano makubwa ikiwemo Ligi ya Mabingwa Ulaya. “Katika kipindi chake, Enzo aliiongoza klabu kwenye mafanikio ya mashindano ya UEFA Conference League na FIFA Club … The post Chelsea yamfuta kazi Maresca first appeared on HabariLeo .