Watanzania wametakiwa kuendelea kumuomba Mungu ili amani iendelee kudumishwa nchini, wakikumbushwa kuwa amani ni msingi muhimu unaochochea mafanikio na ustawi wa jamii.