Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kuvuka lengo la makusanyo ya kodi katika robo ya mwaka ya Oktoba hadi Desemba, 2025, ikikusanya Sh9.8 trilioni kati ya Sh9.6 trilioni zilizotakiwa kukusanya.