Uganda, mataifa mengine 39 duniani kufanya uchaguzi mwaka 2026

Ni mwaka wa uchaguzi. Hivyo ndivyo unavyoweza kuuelezea mwaka 2026 katika ulingo wa siasa za kijiografia kwa sababu mataifa 40 duniani yanatarajiwa kufanya uchaguzi mwaka huu ili kupata viongozi watakaoziongoza serikali zake.