Serikali Yasitisha Timu ya Taifa ya Gabon, Yamtimba Aubameyang

Serikali ya Gabon imesitisha ushiriki wa timu ya taifa ya soka “The Panthers” na kumfungia mshambuliaji nyota Pierre-Emerick Aubameyang, kufuatia kutolewa kwao kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Hatua hizo zilitangazwa na Waziri wa Michezo, Simplice-Desire Mamboula, baada ya Gabon kufungwa 3–2 na Ivory Coast mnamo Desemba 31, huku wakimaliza mkiani katika […] The post Serikali Yasitisha Timu ya Taifa ya Gabon, Yamtimba Aubameyang appeared first on Global Publishers .