wamewataka Watanzania kumweka mbele Mungu na kufanya kazi kwa bidii pamoja na kulinda amani ya nchi. Sambamba na hilo, wamesema Mungu hajawapa kisogo mwaka 2025 licha ya changamoto zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. The post Viongozi wa dini wahamasisha amani 2026 first appeared on HabariLeo .