WADAU mbalimbali wakiwemo wanasiasa, wasomi na wachumi wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa dhamira yake ya dhati ya kuliunganisha taifa kupitia Tume ya Maridhiano aliyoanza hatua ya kuiunda. Wamesema Rais Samia ni mfano wa kiongozi bora na kwamba hata tume atakayoiunda Watanzania watakuwa na imani nayo kwa jinsi muundo wake ulivyokuwa shirikishi. The post Maridhiano, uchumi vyambeba Samia first appeared on HabariLeo .