WAKATI Watanzania wakiungana na watu wengine duniani kote kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2026, Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi zawadi mbalimbali za mwaka mpya kwa watu wenye mahitaji mkoani Kilimanjaro. Zawadi hizo zilikabidhiwa juzi kwa wahitaji hao na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu na Watu wenye Ulemavu, Ummy Nderiananga. The post Samia akabidhi zawadi za mwaka mpya kwa wahitaji first appeared on HabariLeo .