Askofu kanisa la ufunuo Shinyanga ahubiri amani

SHINYANGA: ASKOFU wa Kanisa la Ufunuo mkoani Shinyanga, Samawi Bendera amewashauri waumini wa kanisa hilo kujiepusha na vurugu kwani kuna baadhi ya nchi watu wake wamekuwa wakiingia kanisani kuhubiri kwa hofu kutokana na kukosa amani. Bendera ameeleza hayo Januari 2, akihubiri kanisani kwake wakati wa ibada maalumu ya kuliombea taifa na Rais Samia Suluhu Hassan … The post Askofu kanisa la ufunuo Shinyanga ahubiri amani first appeared on HabariLeo .