MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imejivunia ufanisi wa ukusanyaji wa mapato katika robo ya pili ya Mwaka 2025/2026 huku Desemba ikivunja rekodi za ukusanyaji wa mapato nchini kwa kukusanya Sh trilioni 4.13 sawa na asilimia 102.9. The post TRA yavunja rekodi, yakusanya tril 9.8/- miezi 3 first appeared on HabariLeo .