MAUZO ya korosho kwenye minada mbalimbali nchini yamevunja rekodi baada ya kuvuka Sh trilioni 1.2 ambazo zimekusanywa nchini, kutokana na kuuzwa tani 433,000 za korosho msimu huu unaotarajiwa kukamilika Machi 2026. The post Mauzo korosho yavuka tril 1.2/- first appeared on HabariLeo .