TRA yakusanya Trilioni 4.1 kwa mwezi Desemba pekee mwaka jana

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuvunja rekodi yake yenyewe ya makusanyo kwa kukusanya kodi kiasi cha Sh. Trilioni 4.13 kwa mwezi Desemba pekee sawa na ufanisi wa asilimia 102.9 wa lengo la kukusanya Sh. Trilioni 4.01. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam tarehe 01.01.2026 Kamishna Mkuu wa TRA Yusuph Juma Mwenda …