SIKU kabla ya uchaguzi, wakati na baada ya uchaguzi mara chache huwa tulivu. Katika demokrasia, siku hizo huleta hofu, kauli za ushindani na kuibua hisia. Tanzania haikuachwa nyuma. Matukio yaliyoripotiwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yaliviweka vyombo vya usalama katika shinikizo la kutuliza hofu huku likitelekeza misingi ya Katiba. Tathmini ya matukio … The post Mzigo wa amani na utulivu: Namna Polisi ilivyobeba uzito wa utulivu wa taifa first appeared on HabariLeo .