Waziri Mkuu Japan ataka matundu ya choo yaongezwe jengo la Bunge

Waziri Mkuu wa Japan, Sanae Takaichi ameongeza nguvu kushawishi kutaka vyoo vya wanawake viongezwe katika jengo la Bunge nchini humo ili kupunguza foleni.