Dosari zairejesha kesi dhidi ya raia Nigeria Mahakama Kuu
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imebatilisha hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela na faini ya Sh343.8 milioni aliyohukumiwa raia wa Nigeria, Okwudili Agu, kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini.