Waziri aishauri Wizara ya Ardhi ibadili sheria ya mipango miji Zanzibar
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohamed ameishauri Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi Zanzibar kufanya mapitio ya sheria ya mipango miji ili ziendane na mahitaji ya makazi kwa miaka 30 ijayo.