Zohran Mamdani ameanza rasmi kazi yake kama Meya wa Jiji la New York, akiahidi kuubadili utendaji wa serikali ya jiji kwa ajili ya wananchi wanaohangaika na gharama kubwa za maisha. Mamdani, ambaye ni mwanachama wa chama cha Democratic na anajitambulisha kama “mdemokrati wa kijamaa,” aliapishwa muda mfupi baada ya saa sita usiku katika kituo cha […] The post Historia Yaandikwa New York Meya wa Kwanza Mwislamu Aanza Kazi appeared first on Global Publishers .