Mwinyi asisitiza ushirikiano utekelezaji miradi ya maendeleo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza Wananchi kushirikiana na Serikali ili kuhakikisha mipango na miradi ya maendeleo inatekelezwa na kukamilika kwa wakati uliopangwa. Dk Mwinyi ametoa wito huo leo Januari 02, 2026 alipoweka jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Uzi Ng’ambwa pamoja na … The post Mwinyi asisitiza ushirikiano utekelezaji miradi ya maendeleo first appeared on HabariLeo .