Wananchi Arusha wahimizwa usafi

ARUSHA: WANANCHI na wafanyabiashara jijini Arusha wamesisitizwa kuimarisha usafi  kwenye maeneo yao ili kujikinga na magonjwa mbalimbali. Aidha, makandarasi waliopewa zabuni za kukusanya taka wameagizwa kuhakikisha magari yao yanakuwa safi ili kuondoa kero kwa wananchi na watumiaji barabara ambazo taka zinaanguka badala ya kupelekwa eneo husika. Rai hiyo imetolewa na Meya wa Jiji la Arusha, … The post Wananchi Arusha wahimizwa usafi first appeared on HabariLeo .