Ujenzi wa viwanda vya nguo, dawa za binadamu kuleta unafuu kwa Wazanzibar

Ujenzi wa viwanda vya nguo na dawa za binadamu katika eneo la viwanda Dunga Zuze umetajwa kuondoa gharama za uagizaji wa bidhaa hizo nje ya nchi na kuzifanya zipatikane kwa haraka na kwa bei nafuu visiwani Zanzibar.