Siku tatu tangu kutokea ajali iliyoua watu 10 mkoani Morogoro, ni miili minne pekee iliyotambuliwa, hali inayolazimu uchunguzi wa vinasaba (DNA) kutumika katika utambuzi kutokana na kuungua kwa kiasi kikubwa.