TMA yatabiri uwepo wa mvua kubwa na radi kwa siku 10 mfululizo

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri uwepo wa mvua na radi kwa kipindi cha Januari 1 hadi 10, 2026, huku vipindi vya mvua vikitarajiwa katika baadhi ya maeneo ya Tanzania. Kwa mujibu wa TMA, maeneo yanayotajwa kupata mvua zinazoambatana na ngurumo za radi ni mikoa ya ukanda wa ziwa Viktoria abayo ni Kagera, …