Upelelezi kesi ya kusafirisha vinyonga mbioni kukamilika

Upelelezi wa kesi ya kusafirisha vinyonga 164, mijusi 20 na nyoka sita, inayomkabili mshtakiwa Eric Ayo na wenzake wawili, upo hatua za mwisho kukamilika.