Shule zitafunguliwa Januari 5, 2026, huku serikali ikitoa Sh44.2 bilioni za capitation kwa muhula wa kwanza. Waziri wa Elimu Julius Ogamba alisema ada hazijabadilika na akaonya wakuu wa shule dhidi ya kutoza ada au michango ya ziada.
#HabariZaJambo #KituoChaWakenya